National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,203
Kabaya sana hako katoto π π π π
Siwezi aiseeAcha woga basi my love..unaweza tu
Kanaonekana tuKabaya sana hako katoto
π π π π chit-chat hapa π€£π€£π€£ sio ya serious sana namuita tu huyu mmachame hapa ana deni languUsitaje mtu bhanaπππ
π π π π kazuri eeh.. acha nikaroge kama dawa zitashika
Nilikuwa sijuagi hii kitu aiseβ¦nikiwa na mtu nastik nae huyo huyo sasa unakuta mwamba mwenyewe muda wote anawaza mizizi ya bangi basi fulu kilioπππ π mapenzi ili ufurahi usiyachukulie serious sanaaa kivilee, yaona kama yapo yapo , alafu develop sana ushkaji na mwenza kuliko kuwa wapenzi.. hapo utapona ila bila hivyo jiandae kisaikolojia
Unaona sasa mambo yakoβ¦unahitaji darasa.Siwezi aisee
π π π π sina hela sasa unafikiri angekubali kufa na njaaa..
Tumroge na mp ya mwaka mzimakazuri eeh.. acha nikaroge kama dawa zitashika
Nilikuwa sijuagi hii kitu aiseβ¦nikiwa na mtu nastik nae huyo huyo sasa unakuta mwamba mwenyewe muda wote anawaza mizizi ya bangi basi fulu kilio
Baada ya kujifunza kutokukachi feelings kivile basi maisha ni fulu kitonga yan
Hapana bhanaβ¦π π π π chit-chat hapa π€£π€£π€£ sio ya serious sana namuita tu huyu mmachame hapa ana deni langu
Kuwa Monks kazi sana, na ukifanikiwa hilo sehemu kubwa ya mambo mengi utayamudu vizuri sanaNdio maana sie tumeamua kuwa Monks tu...
View attachment 2449568
Hahaha nasubiri darasa dearUnaona sasa mambo yakoβ¦unahitaji darasa.
Ngoja dadako siku niamue kuwa siriazi nikupige shule
Mapenzi bado yapo aise sema ndio vile mnawindana.kuna mtu juzi kaniuliza "huwa unapenda kweli au unaigiza?"
Kuna maisha nje ya mapenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π π π banaa wee Depal mtani wangu.. mtu asichukulie serious kabisa.. mtani wangu toka zamani sana.. hata convo zetu humu ukiangalia ni za utani utani hatujawai kuonana hatujawai ongea hatujawai ji PM π π π hanijui simjui ni kama vile dogo langu Lenie navyolitania humuHapana bhanaβ¦
Deni lako lifuate pm.
Yawezekana kakumimina kapata doni halafu unaleta hii michoro ya kiwaki mwisho umpeperushie doni wakeππ
Wallah nitashirikiana nae tukulogeπππ
Tunapendana ( kupenda kusikufanye uwe mjinga ) π π πkuna mtu juzi kaniuliza "huwa unapenda kweli au unaigiza?"
Kuna maisha nje ya mapenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mbili tatu mama..yani ni ujifunze vingi tuππHahaha nasubiri darasa dear
Nijifunze mbili tatu