Happy birthday mdogo wangu kipenzi changu
cocastic ...Mungu azidi kukuinua na uzidi kufanyika kichwa na sio mkia..Cha kufurahi wangu..napenda kukuona ukifurahi kila iitwapo leo..
Ishi Sana mdogo wangu..Dada rumee anakupenda mnooo
.. happy birthday
cheupe wangu ..furahia siku yako.