National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
π π π π mtoto atapa ila wewe hupati, shida.. utampiga panga mtoto.. naangalia means nzuri ya kufanya .. nyie ndio wamama unasema mtoto anataka laki , ikitumwa huyo shop unaenda jipendeleaMwambie ulivyonitapeli juzi
Me na mtoto
ππππ
Ila kuna watu ni waizi jamani, ile pro max yenyeweUongoo
Hiyo ni uongooo
Tunajirarijigi tu
Unakuta unamtext anakujibu
Haimaanishi anakukumbuka π€£π€£π€£
labda kupozana tu, kupasha viporo.. shida watu wana complicate sana haya mambo ndio maana wanalizwaUongoo
Hiyo ni uongooo
Tunajirarijigi tu
Unakuta unamtext anakujibu
Haimaanishi anakukumbuka π€£π€£π€£
Tinsley ampotezee tu ila mimi nasimama kumuombea Tinsley
Mungu apige hiyo Ng'ombe pigo la fainali [emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Eti eehh!! sawasawa!! nilikua sijui!!Uongoo
Hiyo ni uongooo
Tunajirarijigi tu
Unakuta unamtext anakujibu
Haimaanishi anakukumbuka π€£π€£π€£
Mimi nauliza kabisa ili tuwekane sawaHakuna haja ya kuulizaaa unajiongeza kiutu uzima bila makelele wala fujo!! Mwenyewe kama ana akili timamub nafsi itamsuta ukute Akili kama za mjomba National Anthem sasa[emoji1787][emoji1787]utajutraaa
Do something kabla hajaanza kulia π€£π π π π mtoto atapa ila wewe hupati, shida.. utampiga panga mtoto.. naangalia means nzuri ya kufanya .. nyie ndio wamama unasema mtoto anataka laki , ikitumwa huyo shop unaenda jipendelea
Nani kakuambia walikuwa wanazini?Ukisikia dua ya kuku haimpati mwee ndio hizo [emoji28][emoji28][emoji28] kwanza karma inakugomea mlikuwa mna zini wote wadhambi, bora mmeachana msiendelee kufanya dhambi.. karma inafanya kwa walio kuwa ordained na Mungu au walio na ndoa.. ila tunao okotana huku chapa ilale
π π π π mambo marahisi haya huitaji tumia energy , ukiwekeza uwekezaji hakuna mwanaume atakupiga chini , hivyo hivyo mwanaume akiwekeza kwe ke hawezi piga chini kirahisi.. sasa unawezekeza maneno tu na mda kuna mwingine anawekeza ufundi, hela, mapenzi na time mnafikiri mtu atabaki salama hapo ? mapenzi ni sadaka uzito wa sadaka yako utaamua unaachwa au huachikiHakuna haja ya kuulizaaa unajiongeza kiutu uzima bila makelele wala fujo!! Mwenyewe kama ana akili timamub nafsi itamsuta ukute Akili kama za mjomba National Anthem sasaπ€£π€£utajutraaa
Katika ubora wako....Do something kabla hajaanza kulia π€£
Utashangaa nimekuja mwenyewe Arusha π π π ila sio wewe nikupe hela .. aaah.. mama yake mdogo nitampa card akachukue zawadi za mtoto aje nazoDo something kabla hajaanza kulia π€£
Ufundi ni nini?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mambo marahisi haya huitaji tumia energy , ukiwekeza uwekezaji hakuna mwanaume atakupiga chini , hivyo hivyo mwanaume akiwekeza kwe ke hawezi piga chini kirahisi.. sasa unawezekeza maneno tu na mda kuna mwingine anawekeza ufundi, hela, mapenzi na time mnafikiri mtu atabaki salama hapo ? mapenzi ni sadaka uzito wa sadaka yako utaamua unaachwa au huachiki
Unataka mpaka upigwe tukio live ndio Akili ikukae sawa!!!???Mimi nauliza kabisa ili tuwekane sawa
Asije kuja kubadili gia angani kuwa hakutukuachana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sitaki hiyo bhana lolSi mnakua mmeonjana wote mmepata utamuπ
Hajaniambia mtu, ( nimetolea mfano, ) kwamba kwanini wakati mwingine karma hazi work..
Agiza cappuccino hapo nakuja kulipaπ π π π mambo marahisi haya huitaji tumia energy , ukiwekeza uwekezaji hakuna mwanaume atakupiga chini , hivyo hivyo mwanaume akiwekeza kwe ke hawezi piga chini kirahisi.. sasa unawezekeza maneno tu na mda kuna mwingine anawekeza ufundi, hela, mapenzi na time mnafikiri mtu atabaki salama hapo ? mapenzi ni sadaka uzito wa sadaka yako utaamua unaachwa au huachiki
πππππ yan sijui nacheka nnKatika ubora wako....
π π π acha maneno kama Depal una namba yangu rusha pesa hapoAgiza cappuccino hapo nakuja kulipa
πππ njooUtashangaa nimekuja mwenyewe Arusha π π π ila sio wewe nikupe hela .. aaah.. mama yake mdogo nitampa card akachukue zawadi za mtoto aje nazo
Life is not fair sometimesSitaki hiyo bhana lol