π π π mtu hamjazaliwa pamoja, mmekutana ukubwani huko mna age ya utu uzima, mtu hujui background yake, hujui walio wekeza kwake.. leo unataka ufe nae ..hapo hata karma inakugomea
Hamjadumu hata miezi 7 unaliaaa ujue something wrongπ€£π€£π€£Mtu.. kama mmekua toka utotoni kama mapenzi ya kikorea hapo sawa, ila mmekutana mna miaka ya ukubwani hamjadumu hata miezi misaba unaliaaa.. ujue kuna something wrong .. Pole kwa wanao umia kwakweli
Mimi nilivyo mpole hivi? Hamna mtu atakuamini hayo maneno yakoππππ hivi watu wanajua kama wewe ni mkorofi sana??
Nitumieni nile π€£π€£π€£
Na umejuaje kama yupo na mtu mwingine?Kimya kimya inaitwa
Utajijua mwenyewe hahhaa
Au Ukafie mbeleeeee π€£π€£π€£π€£!!!! Watu washaonja zaoo haooo!! ππ
Naona mtu ina make sense kulia na karma kuwa upande wako, kama umewekeza vya kutosha ( ikiwa mda wako, nguvu zako, afya hako na hata kama kuna cent zako ) kwa miaka na miaka mna kuna maneno ya kinywa chake na chako yanawafunga.. tayari kuna stage mmevuka kilio chake chako.. hapo chozi lako linaweza kuwa na mantiki, ila mtu unakuta hujawai hata nunuliwa chupi au kumnunulia boxer alafu unalia π€£π€£π€£π€£π€£ inabidi ukapimwe mikojo kwa mkemia mkuu.. Maisha na Mapenzi siku hizi watu wanayaangalia kimanufaa sana na sio mapenzi na kuna watu wana hisi wanapenda kumbe wana hisia na sio upendoHamjadumu hata miezi 7 unaliaaa ujue something wrongπ€£π€£π€£
Hahahaaa... mtu mzima kuna vitu ukioviona unajuaa ohooooo tayariiiii!Na umejuaje kama yupo na mtu mwingine?
Usije hisi amekuacha kumbe si kweli.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Si mnakua mmeonjana wote mmepata utamuπHapo kwenye kuonja ndo inauma aisee ...
MTU anakuonja na kukuacha .
Ukute walivuka hiyo miezi 7mtu hamjazaliwa pamoja, mmekutana ukubwani huko mna age ya utu uzima, mtu hujui background yake, hujui walio wekeza kwake.. leo unataka ufe nae ..hapo hata karma inakugomea tu.. kama mmekua toka utotoni kama mapenzi ya kikorea hapo sawa, ila mmekutana mna miaka ya ukubwani hamjadumu hata miezi misaba unaliaaa.. ujue kuna something wrong .. Pole kwa wanao umia kwakweli
katepeli pro max hako π π π kasikuingize kingi... ukikasikia hivi maskini unaweza patwa na huruma ghafla hadi utokwe chozi.. ukishakaelewa ndio utajua unadeal na Iddi amini dadaπ€£π€£π€£
Basi msanii sana huyo binti
Point kubwa umewekeza nini ndani ya huo mda .Kuna wapenzi wana miaka lakini hakuna uwekezaji zaidi ya kupotezeana mda.. hata Mungu anatuhuku kutokana na uwekezaji wake ila asingefanya uwekezaji asingekuwa na haki ya kutuhukumu
π€£π€£π€£katepeli pro max hako π π π kasikuingize kingi... ukikasikia hivi maskini unaweza patwa na huruma ghafla hadi utokwe chozi.. ukishakaelewa ndio utajua unadeal na Iddi amini dada
Hahahaaa... mtu mzima kuna vitu ukioviona unajuaa ohooooo tayariiiii!
Mie sitakagi jam mbona najiengua mwenyeweee!!
Sinaga kusubiria aiseee
Anna Wigee
Labda hakuridhika na radha anaoitaka lolHapo kwenye kuonja ndo inauma aisee ...
MTU anakuonja na kukuacha .
πππ mpole? Wasio kujua eeMimi nilivyo mpole hivi? Hamna mtu atakuamini hayo maneno yako
Ukila walai tunakuloga π€£π€£π€£