Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Anne WigeeUna siasa kama Anne Wigee!!
Zimefika ππππ
Msalimie π₯°
Ww unaniqoute nn na tunaongea ππππZimefika π
Mungu afungue kichwa changu ni kizito hatari .π€£π€£π€£π€£Kuna visavisa fulani hivi vikianza unajua kabisaaa this is red alert....πππ!! Unajiandaa kwa loloteπ
π€£π€£π€£π€£Ww unaniqoute nn na tunaongea ππππ
Unanimalizia chaji
Waletreeeeeeee.... acha tubadili radha hukooo!!ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chapaaaa ilaleeee.
Waleteeeeeeeeeeeee!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππ ukoje lakiniπ€£π€£π€£π€£
Na nimekuquote tena ole wako usijibu
Nilifeli aisee nilidumbukia miguu yote sema mimi siwezi danganya ndo manaa ... Sijui ilikuwaje nikawa na karoho hiki .Kanuni ya mapenzi huijui dear? Mguu m1 ndani mguu m1 nje.
Hata ukiingia miguu yote, ukikumbuka kuwa hukuzaliwa nae, bas mguu m1 ni njee lazimaaa yaan. Ulikwamaaa wapiii dear??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakunywa soda hapa, karibuππππππ ukoje lakini
Unanimalizia chaji ya kuzungumz me baadae
wafundishe π π ... ila mbona mie naingiaga miguu yote na sipatwi na kitu.. shida kuhisi unakufa naeKanuni ya mapenzi huijui dear? Mguu m1 ndani mguu m1 nje.
Hata ukiingia miguu yote, ukikumbuka kuwa hukuzaliwa nae, bas mguu m1 ni njee lazimaaa yaan. Ulikwamaaa wapiii dear??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema haki ya naniBongesa la tumbuaa manaeeeee ! limenounaaaa[emoji39][emoji39][emoji39]
Sitaki πππNakunywa soda hapa, karibu
Asante kwa kukaziaaa mjombaaπ!!wafundishe π π ... ila mbona mie naingiaga miguu yote na sipatwi na kitu.. shida kuhisi unakufa nae
Kimya kimya inaitwaDah!
Alibadilikaje badilikaje??
Na alipoondoka alikuambia nini?au ndio ilikuwa kimyakimya?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
UtatakaSitaki πππ
Au Ukafie mbeleeeee π€£π€£π€£π€£!!!! Watu washaonja zaoo haooo!! ππKimya kimya inaitwa
Utajijua mwenyewe hahhaa
π π π mtu hamjazaliwa pamoja, mmekutana ukubwani huko mna age ya utu uzima, mtu hujui background yake, hujui walio wekeza kwake.. leo unataka ufe nae ..hapo hata karma inakugomea tu.. kama mmekua toka utotoni kama mapenzi ya kikorea hapo sawa, ila mmekutana mna miaka ya ukubwani hamjadumu hata miezi misaba unaliaaa.. ujue kuna something wrong .. Pole kwa wanao umia kwakweliAsante kwa kukaziaaa mjombaaπ!!
Depal ndio anatabia ya kuliaπ π π mtu hamjazaliwa pamoja, mmekutana ukubwani huko mna age ya utu uzima, mtu hujui background yake, hujui walio wekeza kwake.. leo unataka ufe nae ..hapo hata karma inakugomea tu.. kama mmekua toka utotoni kama mapenzi ya kikorea hapo sawa, ila mmekutana mna miaka ya ukubwani hamjadumu hata miezi misaba unaliaaa.. ujue kuna something wrong .. Pole kwa wanao umia kwakweli
ππππ hivi watu wanajua kama wewe ni mkorofi sana??Utataka
Na next week tunatuma nauli utajua hujuiπ€£π€£π€£