Selfika na JF: Snap it. Show it

Wivu tu huo chief
Nikugawie mmoja? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Valentina njoo umvhukue kijana wako hapa
Tenaaa uwaambie kwa cocaa umefikaaa, hupumui hufurukutiiiii.
Tena waambie wajue, unatafuta pesa ili mie nizitumieee.

Nakupendaaaaa babeeee, [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu shangaa na wewe Coca
Huyo jamaa atakuwa na undugu ya Shetani,si ajabu ni Ankoli wa mapembe.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ njoo nikupe Nanii uchat nae
Nimeona sms yake hapa, naongea na simu nikimaliza namjibu

Ila ni mchokozi sana 🀣🀣
 
Huyu mchonganishi tu achana naye hana lolote
Kesho ni bonge la birthday
Tena tunafanyia pelee juu paleeeee...
"Weweee umesemaaa ndiyoooooooo"
"Nani apingeee"

Weraaaaaaaaaaah!!!! Aririiiiiiiii kupendwaaaa rahaaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu siyo uchafu,ni ugonjwa unapatikana kwenye kwapa,unaitwa trichomycosis axillaris,unasababishwa na maambukizi ya Corynebacterium.Ugonjwa huu unatibiwa kwa antibiotiki za kupaka.View attachment 2448685
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utadhan nyasi kavu za uoto wa Savana.

Geog nilipata B. Sijui nimepatia. Uwiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala usijione mjinga na Wala usijihukumu.
Kutokujua siyo kosa lako.

Ni yeye tu ameamua kufanya ushenzi wa kishenzi.

Ilikuwaje mkaachana?
Ulimkosea?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Ni ile unampenda MTU ila yeye hana habari
Hakuna kosa nililofanya
Najionaga sijui kuangalia mtu nawazo yake .. Naamini watu easy kweli hapo ndo nafeli
 
Ko sisi wa la 7D ndo umeamua yasituhusu? Dhambi hizi lakin.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakusisitiza tena, wanaume baba yao ni 1. Kuwa makini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezaaaa sautiiii puliiiiiiiizzzzzzz

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahhaahhhh
Mweh mnanijaza jamani hivyo vyote nimevitolea wapi hahahaaa

wanaume ndo wanapenda kuutumiza sie wapole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…