Selfika na JF: Snap it. Show it

Jidanganyeni
[emoji23][emoji23]
Karma do not exist
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi sana Dogo


Malipo ni hapahapa duniani.
Ila ili yafanye kazi,lazima usijichoshe Kwa namna yoyote ile kulipa.
Mwachie Mungu alipe.

Yaani kama alimuumiza mtoto wa watu bila sababu aisee atalipwa tu.
Mungu ni wa haki.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kwanini mtu umtendee mwenzio ubaya??
Ushetani tu.

Dawa ya moto ni moto,,hatabaki salama.


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Karma is a bitch.... Anashangaa mtu una furaha zakooo na Amani telee nafsi inamsuta mwenyewe!

Mapenzi hayaaa!! Na unaeza ona umefikaaaa kumbee ndiokwanzaaa kumekucha 🀣🀣🀣!!
Mapenzi shenzisanaπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Karma is a bitch.... Anashangaa mtu una furaha zakooo na Amani telee nafsi inamsuta mwenyewe!

Mapenzi hayaaa!! Na unaeza ona umefikaaaa kumbee ndiokwanzaaa kumekucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Mapenzi shenzisana[emoji23][emoji16][emoji16]
Ni suala la muda.
Popote alipo lolote limkute mwaka huuhuu.
Nimebadili maombi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuuuu wee km bibi mama E unampenda hvyo ni wee, hawa wengine ni chapaaa ilaleeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dear hivi anaye kuumiza wee haogopi? Hajistukii? Upoleee, ukimyaa, ustaraaabu, hekima na heshima zote hizo? Mbna wee ni wa kuolewaa tena kwa ndoa jumlaaa.

Wanaume hawa jamaniiiiiii khaaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…