Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzungu kokooo!! Ulimwengu mzima utajua Mbona kuna wa kuambiwa sio shosss akee weweeee!!
 
Jana alitupia, me niliishia kuona tu comment ya cocastic akimmwagia misifa

Mjep blaza, selfika basi tumekumiss
Huyo ni mume wa mtu, mnataka wa nn? Mnajua uchawi wa kingoni? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayaa nshatoa [emoji3544] lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzio niliambiwa "hujioni uko km Jini maimuna" nilitoa fastaaaaaa.
Ntakufa niko hoi, kila kitu lazima nijaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…