Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sifuagi, nafuliwa na kaka ako😂😂

Siku ya Kwanza lazima upate shida kidogo ila after 2 days hivi unakua unazoea.

Nina kucha ndogo na tufupi kwa mguuni.
Nawaza nikibabandika nitaumia kwa maana nitajikwaa sana

Naona rangi nyeupe inanoga sana miguuni .
 
Nina kucha ndogo na tufupi kwa mguuni.
Nawaza nikibabandika nitaumia kwa maana nitajikwaa sana

Naona rangi nyeupe inanoga sana miguuni .
Miguuni kubandika ni shida, kuna kujikwaa na kuvaa viatu vya kufunika zinaweza sababisha maumivu.

Yeah inanoga hata red nayo inabamba sana
 
Heeee
Na kusubiri 2 days tena? Aku sitaki

😁😁 si ndio sasa hawa makaka wawili waishi sanaa
Hahaaa yaani labda kwavile me sijazizoea bado, hua zinanipa shida ila badae nafeel tu kawaida.

Naomba tu nisiwe addicted nazo kwakwel japo ukiweka mkono unapendeza😍

Kwakwel nami nawaombea tu sana🤗
Wako poa sana
 
Christmas loading
giphy.gif
 
Hahaaa yaani labda kwavile me sijazizoea bado, hua zinanipa shida ila badae nafeel tu kawaida.

Naomba tu nisiwe addicted nazo kwakwel japo ukiweka mkono unapendeza😍

Kwakwel nami nawaombea tu sana🤗
Wako poa sana
Sasa mm si ndio nitashindwa hata kukata kitunguu? 😀😀

Wanawake wa Dar na vitu vyenu hivo

Nakuona ulivyotype huku picha yake imekujia taswirani 💃
 
Back
Top Bottom