Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Yeaah ZenjiiZenji hiyo mkuu ?
Yeaah ZenjiiZenji hiyo mkuu ?
Daah niuzie mpendwa 😁😁😁
NimezipendaZa ovyo tu hzo.. fake za 8k
Ijia bureee,mi na wewe tenaDaah niuzie mpendwa![]()

Nakuja piemuniNjoo pm nikupe![]()
AsanteIjia bureee,mi na wewe tena![]()
NakusubirNakuja piemuni
Hivi kupenda raba ni kaugonjwa maana mimi napenda sana raba.Ijia bureee,mi na wewe tena![]()
Umelipiza SumbaiGoood afternoon....!View attachment 1265154
Sio ugonjwaHivi kupenda raba ni kaugonjwa maana mimi napenda sana raba.
Duh mimi na uzee wangu nimeshindwa kuacha kuvaa rabaHivi kupenda raba ni kaugonjwa maana mimi napenda sana raba.
Kuna umri ukifikia lazima utaacha, fikilia itakuwaje kitu ulichokizoea kuja kuacha baadae.Duh mimi na uzee wangu nimeshindwa kuacha kuvaa raba
Hivi kupenda raba ni kaugonjwa maana mimi napenda sana raba.
Bora wew mwaume mimi kuna mda nikivaa najistukia hasa njiani nikutane na ndugu aliyenizidi umri😁😁Sio ugonjwa
Unajipenda na kujijali ndio maana unapenda raba,mimi napenda nguo na raba,
Mimi huwa siweki picha yangu ikadumu ndani ya dakika lazima nifute sorry mpendwaSasa mbona umeifuta