Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,838
- 57,475
Asante Mjukuu!Nafurahi kusikia hivo babuu uwe na Jioni njema!
Msalimie Mkwe wetu, mwambie atuletee wajukuu zetu watusalimie 🤗
Asante Mjukuu!Nafurahi kusikia hivo babuu uwe na Jioni njema!
Salamu zimefikaa babuuu Mungu ni mwema soon wanakujaaaa jiandae kucheza naooo wakusumbueee mpaka basi!Asante Mjukuu!
Msalimie Mkwe wetu, mwambie atuletee wajukuu zetu watusalimie 🤗
Kwa namna Bibi yako alivyowamisi wajukuu zake, atafurahi Sana kuwaona.Salamu zimefikaa babuuu Mungu ni mwema soon wanakujaaaa jiandae kucheza naooo wakusumbueee mpaka basi!
Na wewe uselfikeMselfike
Mimi tayari madamNa wewe uselfike
usiwaze kabisa babuu!Kwa namna Bibi yako alivyowamisi wajukuu zake, atafurahi Sana kuwaona.
Usisahau kuniletea miwani yangu ya Macho tu 🙈
Mimi tayari madam
Tunasubiri selfie yako tuu
sijaonaKunywa beer kitakuja chapNdio nipo nakitafuta hapa
Tumbo limekuwa flat mno hadi naogopa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ughonile ?
Naomba bia ninyweKunywa beer kitakuja chap
Ughonile ?
Kuna watu hawamwamini Yesu.