Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Tuma tu kwanzaUnazingua sasa mi nimekuomba we tuma namimi ntatuma kipotabo changu!
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tuma tu kwanzaUnazingua sasa mi nimekuomba we tuma namimi ntatuma kipotabo changu!
Yaan wanachoshaa kweli,Waganga wa kienyeji mkiokoka mna mbwembwe hatari![]()






Oooh ouk hapo sawaaah!!!Hapana. Vitumbua vya Nazi, Iliki na Mayai.![]()
Kausha basi kama hutaki mtoto gani wa kike unaogopa tukuone au una daiwa Tala.
Songesha,nipige tafu,timiza wanajuta kunikopeshaKausha basi kama hutaki mtoto gani wa kike unaogopa tukuone au una daiwa Tala.
I'll be soldier for you! Saint Anne nikuone basi hata mguu nafsi yangu iridhike!Songesha,nipige tafu,timiza wanajuta kunikopesha
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wewe humu sijawahi ona hata ukucha wakoI'll be soldier for you! Saint Anne nikuone basi hata mguu nafsi yangu iridhike!
Jana mbona nimeselfika sana humu! Embu nikuone ujue nimekumiss sana mpaka nahisi homa Saint Anne
Tuone hiyo picha yako ya janaJana mbona nimeselfika sana humu! Embu nikuone ujue nimekumiss sana mpaka nahisi homa Saint Anne
Siku ndo zinayoyoma hivo
Mp si watu watakuwa wanakuja sana?Haswaaah ndo mie huyoooo,![]()
Waje kufanya nn huko MP?Mp si watu watakuwa wanakuja sana?
Si hiyo picha inawachanganyaWaje kufanya nn huko MP?
Haki utapata dhambi kwa hiyo picha watu wanameza mateKhaaaaahhapanaaa.
Poleeeeeniiiii,Haki utapata dhambi kwa hiyo picha watu wanameza mate





