Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486
😂😂😂 tupe tu location tukiona kimya tukufuate kwenutena mie ndo ntapotea karibu mwaka mzimaaaaa.
😂😂😂 tupe tu location tukiona kimya tukufuate kwenutena mie ndo ntapotea karibu mwaka mzimaaaaa.
Msalimie wa pembeni yakoGood morning selfika!!!!
Zimefikaaa kipenzi 😘😘!!Msalimie wa pembeni yako
Mkujee huku shaangaziii,tupe tu location tukiona kimya tukufuate kwenu





Brohz naomba sangaraaa.
Nakuletea shoss angu December is giving me vibesss💃💃💃💃🤸🤸🤸!!!!Naombaaa chapatii na supuuu. Uwiiii had njaa imeanza tena kuuma.
Weuweeeeeeeeeeeeee!!!! Hatareeeeee.Nakuletea shoss angu December is giving me vibesss!!!!
Babuuu sikubaliiiii namie naomba kukuu wa kukaanga babuu nna njaaa!!😋😋😋😋😋
Walekosalaam wabarakatuWa vipajiiiiiiiiiiiii!!
Samalekooo![]()
UsiwazeBrohz naomba sangaraaa.
Njoo nikupe kitambi..Ndio nipo kwenye harakati za kukitafuta, angalau nipate cha kufutia simu
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nasubiriiiii brohhhzzz!!!Usiwaze
Mnyaki..
😂😂Mkujee huku shaangaziii,![]()
😋😋Watu mnakula vizuri ndo maana mna mahips😂😂
Na mm naomba mualiko hapo Beaco resort😂Good morning selfika!!!!
Karibuuuuuuuu tuinjoi dear!! 😘Na mm naomba mualiko hapo Beaco resort😂
Ndio nipo nakitafuta hapaNjoo nikupe kitambi..