jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,866
- 10,163
to be honest naipendaga sana dp yakoHatuna vochaaa shangaziiii.
to be honest naipendaga sana dp yakoHatuna vochaaa shangaziiii.
Ooooh ahsanteee sanaaa.to be honest naipendaga sana dp yako
Sasa hapa unashiba kweli?late dinner[emoji17]
coca lalaSasa hapa unashiba kweli?
Simaralate dinner[emoji17]
Ujanja wako wote wa kumshabikia Magwaya,hujui combinenga ya chichi na wali?Kila nikiwaza, huwa sielewi hii combination ya parachichi na ubwabwa. Naona ni kama vile haviendani.
Najiwekea malengo kabla huu mwaka haujaisha, niwe nimejaribu hii combination ya ubwabwa na parachichi.
Njoo ule shouz.Njaa ishaanza kuumaa
Ndio nipo kwenye harakati za kukitafuta, angalau nipate cha kufutia simu
Hiyo kama siyo Mnyaki huwezi ielewa [emoji16][emoji16]Kila nikiwaza, huwa sielewi hii combination ya parachichi na ubwabwa. Naona ni kama vile haviendani.
Najiwekea malengo kabla huu mwaka haujaisha, niwe nimejaribu hii combination ya ubwabwa na parachichi.
Leo weekend, wee hujui?coca lala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakuja pekee yake. Sitakiiiiii
Kumbe ndio maana umepotea!!Niwatakia maandalizi mema ya msimu wa Christmas na mwaka mpya wakuu..
View attachment 2442181
View attachment 2442182
View attachment 2442185
Shimba ya Buyenze
MALCOM LUMUMBA
Fortnox
Post M-alone
Heaven Sent
Saint Anne
Cillah
Darlin
Antonnia
sophy27
Makiwendo
Zodwa
Acha tukahesabiwa sasa... jf kuipata huku chakani mtihani mzito
If you don't get it forget about it [emoji1][emoji3][emoji3]View attachment 2443533
Indeed [emoji4][emoji4][emoji4]If you don't get it forget about it [emoji1]
Kwa Mageaya unanionea, mimi niko na Andunje.Ujanja wako wote wa kumshabikia Magwaya,hujui combinenga ya chichi na wali?
Subiri nitakupa Mwalimu akufundishe,[emoji16]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kumbe ni mambo ya Soko Matola kwa Mwakitumbile?Hiyo kama siyo Mnyaki huwezi ielewa [emoji16][emoji16]