Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari ndiyo hiyo lazima apite njia moja na msigwa kindezi hutoboi,

Nyie endeleeni kukopa tu mnamfanyia biashara yeye,

Na wakali balaa ukizingua kwenye marejesho ukichelewa tu lisaa wanakufuata kusanya vitu piga mnada.
mabena wana maana kwan? Tena ukikopa sasa ndo umeingia nuksi hupati hela, na lazima ushindwe wanakuja kusomba vitu vyoteee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…