Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Tabia mbayakitalembwa nimeomba blessings zako ukakimbia mazima!!
Za hovyo hovyo
Umeanza lini

Nikuchagulie msuko halafu picha waone wengine
Umeenda kuwaje

Nimekaa hapa nasubiri nikuone
Tabia mbayakitalembwa nimeomba blessings zako ukakimbia mazima!!


We ni mmoja wa wale fans wa selfika... ambao mnapita kimya kimya.


natumia free basicsNimesuka hivi rafiki TetramelyzTabia mbaya
Za hovyo hovyo
Umeanza lini
Nikuchagulie msuko halafu picha waone wengine
Umeenda kuwaje
Nimekaa hapa nasubiri nikuone
WigelekeloNimesuka hivi rafiki Tetramelyz
Aisee, licha ya picha kuona wengine, hata wanufaikaji ni wengine, sie tubaki kusifu...Tabia mbaya
Za hovyo hovyo
Umeanza lini
Nikuchagulie msuko halafu picha waone wengine
Umeenda kuwaje
Nimekaa hapa nasubiri nikuone
Hatari sanaAisee, licha ya picha kuona wengine, hata wanufaikaji ni wengine, sie tubaki kusifu...
Nyam nyam nyam
Bk mjini 😁😁😁!Ndege unapandia chato au
Bukoba mjini airport![]()
Imeisha hiyoBk mjini!
Nazisubiria best!
Mara paapAiseeee .....ngoja niweke kambi humu nifanye mawindo
Mzabzab ni balaa
IpoIko wapi mbona sioni?
Kama hujawahi ona mapicha yangu yote ninayoweka basi utakuwa na kengezaSaint Anne please, hebu leo nibariki, ujue sijawahi kuona vizuri.. weka vitu
