Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Mjini hakuna maparachichiWe mnyaki wa wapi unakula wali na yai instead of parachichi?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mjini hakuna maparachichiWe mnyaki wa wapi unakula wali na yai instead of parachichi?
Huyu tajiri wa roho hadi pesaLeo ndio nimejua kwa nini wanakuita boss lady, Saint Anne njoo uone msuko..
Hivi we dada mbona huwa unajizeesha, msichana mbichi kabisa..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Mie li shangaziii😁😁😁 Mwite Saint Anne ... mwambie nimemuwekeaHivi we dada mbona huwa unajizeesha, msichana mbichi kabisa..
Leo ndio nimekuona vyema...

Pole sana..
Mie marefu ndio nayapenda hapo nimesuka pakti mbili kimoja wanaweka 24 tu washenzi kweli wanajua kamoja hakatatosha so mtu lazima aongeze kengine!!
Ni hatari
Halafu Jana nilitaka nikutumie na hii,ila nikawaza labda hutapenda manywele marefu
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
💃💃💃😛!naked kabisaa,,, le super madamee![]()
Yaani we ni ndito kabisa..🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Mie shangaziii😁😁😁 Mwite Saint Anne ... mwambie nimemuwekea
Iko wapi mbona sioni?
Ni hatari
Halafu Jana nilitaka nikutumie na hii,ila nikawaza labda hutapenda manywele marefu
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sio vizuri, dk moja tu umeitoa
Nditoye💃💃💃!!Yaani we ni ndito kabisa..
Imekaa sana mkuu!! Fanya kuibless Jioni yangu basii!!Sio vizuri, dk moja tu umeitoa
Camera haidanganyi..Nditoye💃💃💃!!
Mie nina kamwili kadogo tu Kamera sijui inakuaje walai;!
We ni mmoja wa wale fans wa selfika... ambao mnapita kimya kimya.Sio vizuri, dk moja tu umeitoa
Hahaha, mimi nimepita dk 5 baada ya wewe kupost haikuepoImekaa sana mkuu!! Fanya kuibless Jioni yangu basii!!