Ni kweli naona wakinga na wabena kwasasa wamegundulia hiyo biashara ya mikopo,@mawardat Yuko vizuri halafu Ni dogo tu hata miaka 30 hajafika sema Ile ishu ya mikopo inampa pesa Sana maana ana ofisi nchi nzima ofisi zaidi ya 400 kila wilaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simpendiiiiiMsigwa wamuache[emoji91]
Niliwahi sikia eti mabena hata 30yrs hajafika, mmmh ukute ameingia njia zisizofaa maana hela zina mengi bhana. Lol.@mawardat Yuko vizuri halafu Ni dogo tu hata miaka 30 hajafika sema Ile ishu ya mikopo inampa pesa Sana maana ana ofisi nchi nzima ofisi zaidi ya 400 kila wilaya
Ile iko vizuri mnooo,. Afu hii ya msamala kiswele n ya nan? Afu naona wameweka had taa barabaran, uwiiiiiiih Songea kumenogaaaaa.Yaani mabena[emoji91]. Ya bombambili ushawahi kupita mida ya jioni??
Hata 4 badooo.Kafa hata miezi sita haijafika eti,
That's good News watoto ni baraka!! Hebu nami nichakarikee fastaa🤰🤰🤰Mjamzito
[emoji15]TEF mikeka 3/10 [emoji736]
Mungu ni mwema [emoji120]
Weee Hapana mie juu mwembamba kidogo! Dadaaa kajaa sana angalia hata mikono tumbo lake limejaa kote!!
Sijamfikia dada!
"Kajaa kote juu hadi chini*Sijamfikia dada! Dada kajaa kote juu hadi chini!
Au mahondaw hivi heaven sent yupoooSijamfikia dada! Dada kajaa kote juu hadi chini!
Hapana dadaa kazidi!Kweli BL każidi.
Ndiooo Wige mie juu mwembamba kidogo 🤣! Dyadya juu kajaaa chini kajaaa
Pm umefunga kwaniniNdiooo Wige mie juu mwembamba kidogo [emoji1787]! Dyadya juu kajaaa chini kajaaa
Yupoooo atakua ametingwa kidogo ila juzikati alikuja kutusabahi selfika... kiukweli tumemmiso sana mama pasta Heaven Sent !Au mahondaw hivi heaven sent yupooo
Good morning tichaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wee wige mi unene nalingana na Dadake Anne???
Huyo dadakeWee wige mi unene nalingana na Dadake Anne???
Mpotezeee tu!Wapendwa naombeni mbwinu ya kumtapikia mtu nyongo humu jf pasipo kumkwaza 😂😂...maana ni mtu ninaemuheshimu ila amenikwaza kufikia maximum..friji langu limegoma kabisa kugandisha nimejitahidi kukausha na upole wangu lakini wapiiii...embu nipeni vi-tips uvumilivu umefika mwisho.... Ahsanteni