Selfika na JF: Snap it. Show it

Njombe ndogo Sana Ila ule msoko dah waliua Sana ,,. Dgo unafika njombe bila kutuona wazee wa Kijiji hizo Ni dharau,, joshoni kule Kuna mamayako mdogo usingizi wangu
 
Njombe ndogo Sana Ila ule msoko dah waliua Sana ,,. Dgo unafika njombe bila kutuona wazee wa Kijiji hizo Ni dharau,, joshoni kule Kuna mamayako mdogo usingizi wangu
nimechekaaaa, kuna siku nilipishana na Range pale kanisan Chaugingi, nilikumbukaa wee na v8 yako. Had nkajisemea ukute ndo yeye Mr F,

Sikua na
ako ningekutafta mbna, nlikaa sanaa week 3,

Joshoni karibu na makaburi, na palee soko bubu.

Hata stand ya njombe nimeikubali kwa kweli, iko vizureee.
 
Dgo ulifeli Sana ungenichek hata humu jf, nimekaa njombe mwezi mzima nimerud juzi hapa kwa Wala mbwa,, usiku Pana viwanja pale vinabamba nikawa nashangaa tu,Sasa pale soko bubu mitaa Ile Ile najifichaga pale
 
Afu mie najua wee makao yako makuu ni Njombe, kumbe Iringa, nweiii siku yeyote nikiwa nateremka home ntakustua nikusabahii Mr F.

Kwa kweli njombee kuna baridi, yaan nlkua nakaa ndani na jiko la mkaa mweeh. Kwa kulala navaa vitu vingi na jacket juu.

Duuh pale hapanaaaaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…