Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Simuelewi mchumba wangu Saint AnneHakuna kuachika pambana na hali yako
Simuelewi mchumba wangu Saint AnneHakuna kuachika pambana na hali yako
Hunielewi vipi tena?Simuelewi mchumba wangu Saint Anne
Ahaaa unanichunia sana!😩Hunielewi vipi tena?
Mimi?Ahaaa unanichunia sana!😩
Ok, Well!
Unasafiri


Thank youit's weekend njoo tumwagilie mioyo
Karibuu mnoo Blessed womanHabari wakuu.ni tumaini langu wote mpo vyema.nimekuwa nikiwafuatilia sana offline sasa nimeamua kuwa member hai.
Naombeni mnipokee Kwa mikono miwili.
Karibu sana dearHabari wakuu.ni tumaini langu wote mpo vyema.nimekuwa nikiwafuatilia sana offline sasa nimeamua kuwa member hai.
Naombeni mnipokee Kwa mikono miwili.
Asante sana Mshana JrKaribuu mnoo Blessed woman
Asante sana TinsleyKaribu sana dear
jisikie upo nyumbani
Selifika kidogo basiHabari wakuu.ni tumaini langu wote mpo vyema.nimekuwa nikiwafuatilia sana offline sasa nimeamua kuwa member hai.
Naombeni mnipokee Kwa mikono miwili.
Good morning babegirl 😘!
Fanya wepesi umtoe mrembo out buana nahilo giza anaboreka !!it's weekend njoo tumwagilie mioyo
Anazeeka vibaya!Balaa yaani anachambwa mnooo kwenye sosho media Jana kalia km mtoto ,kashazewka ndo baasi teena
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Morning sweetheart 😘Good morning babegirl 😘!
Vipi umeme ulirudi??
Tanesco Lishakua janga Walai
Dear sis , nitakuwa offline kwa jf .Good morning babegirl 😘!
Vipi umeme ulirudi??
Tanesco Lishakua janga Walai