Blessed woman
Member
- Dec 2, 2022
- 17
- 63
Habari wakuu.ni tumaini langu wote mpo vyema.nimekuwa nikiwafuatilia sana offline sasa nimeamua kuwa member hai.
Naombeni mnipokee Kwa mikono miwili.
Naombeni mnipokee Kwa mikono miwili.
Mpo wengi mjuee ss tupo wachache tukifa sijui mtaishije
Wanazaliwa watu kila sikuMpo wengi mjuee ss tupo wachache tukifa sijui mtaishije
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wewe umezaa

Si niiliweka nifute, nikapigiwa simu ya msingi, nikajisahau nakuja kumbuka saa hizi 🙉🙊
Marhabaaa nakupa matokeo ya auntie Yako kapiga A swaafi kabisaaa
Sawa, usisahau kutuma namba, Google Map adressKushakucha sasa...labda jioni tena 😁😁
Weuweeee🔥🔥🔥🔥Marhabaaa nakupa matokeo ya auntie Yako kapiga A swaafi kabisaaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ambao hawajaona ni wazembe
Acha tu usingefuta😝Si niiliweka nifute, nikapigiwa simu ya msingi, nikajisahau nakuja kumbuka saa hizi 🙉🙊
Wengine tutaonana peponiAmbao hawajaona ni wazembe
Tena mara ya 2 hii unaweka