reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,426
- 29,306
Nimefurahu Uruguay Jana alivyotolewa yaani I hate that manduh balaa
hicho ndo kipande Cha kuhuzunisha
nimeona picha ya Luis Suarez wa Uruguay akitokwa machozi dah .
Poleni sana jamani Umeme ni hitaji la msingi mnoooYanii ishakua kero kubwaaaa
Kabisa!! Sijui tatizo niniPoleni sana jamani Umeme ni hitaji la msingi mnooo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo Suarez ?Nimefurahu Uruguay Jana alivyotolewa yaani I hate that man
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Balaa yaani anachambwa mnooo kwenye sosho media Jana kalia km mtoto ,kashazewka ndo baasi teenaHuyo Suarez ?
Halfu nasikia hii ni mechi ya mwisho kwake umri umeenda
nimecheka comment za watu aisee
Hahaha analo aiseeBalaa yaani anachambwa mnooo kwenye sosho media Jana kalia km mtoto ,kashazewka ndo baasi teena
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
it's weekend njoo tumwagilie mioyo
Ewaa look tasty....
Safi kabisa, hivi wewe upo singo au?Mchumba wamtu mambo
Nipo single naenjoySafi kabisa, hivi wewe upo singo au?
U singo raha eeh😆Nipo single naenjoy
Sana yaniU singo raha eeh![]()
Na mm bora niachike tu😉Sana yani
Hakuna kuachika pambana na hali yakoNa mm bora niachike tu![]()