Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mungu azidi kumpigania Rey wetu

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kananiambia Mama nataka niwe Daktari Mimi!namuombea na ntapambana mpk last point aseehh afikie ndoto zake!!!
Yaani kanisapraizi mwenzenu na hivi niliyumba na miye nikamtoa private Sasa akaenda tu shule za kata ....!kiukweli Mungu huyu anajua kunifuta machozi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Atakuwa Daktari
Wengi wenye ndoto za udaktari huwa na juhudi sana kwenye masomo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Tumerudi enzi za miaka ya 70
Mwezi nao uteremke mama.
Aiya iya iya iya mama

We mama njoo
Njoo uone Tz ilivyobadilika
Tz ya leo,imejaa kiza Totoro
IMG_20221203_191634_837.jpg
IMG_20221203_191643_367.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kananiambia Mama nataka niwe Daktari Mimi!namuombea na ntapambana mpk last point aseehh afikie ndoto zake!!!
Yaani kanisapraizi mwenzenu na hivi niliyumba na miye nikamtoa private Sasa akaenda tu shule za kata ....!kiukweli Mungu huyu anajua kunifuta machozi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mamaaa Mungu ampiganie atimize ndoto zake!! Koku alige???
 
Back
Top Bottom