Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Wewe tu kakakeDadake
Nahangaika kumbe inawezekana
Ukanifundishia home
English kozi medium school[emoji848]
Uandae dikshenari pindi tuane hata leo jioni
Wewe tu kakakeDadake
Nahangaika kumbe inawezekana
Ukanifundishia home
English kozi medium school[emoji848]
Mke mwenzio huyo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Umependeza Mama Wige
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Unadhanihahah kweli
mkiwa wengi hivyo shida ,sijui wanawezaje aisee .
Sichagui mbonaEndelea kuchagua
Utakutana na wavaa sarawili makalioni
UkanikubaliKisha?
TuliwekanaMkapeana.......
Mikono[emoji12]
kha ndo mambo nisiyapenda hayoUnadhani
Hata haya mahusiano ya kigalatia
Unakuwa peke yako[emoji848][emoji1787]
Thubutuu
Mnakuwa kama sita hivi
Kupokezana kijiti
Halafu?Ukanikubali
We una wangapi?Unadhani
Hata haya mahusiano ya kigalatia
Unakuwa peke yako[emoji848][emoji1787]
Thubutuu
Mnakuwa kama sita hivi
Kupokezana kijiti
HakikaDec hainaga baya na mtu, labda tu uwe na stress zako [emoji23]
Pm yangu huioni sio😂😂😂😂😂😂 abeeeeee dada mkwe
Una principles zako konki sana!!😎😎😁!Sichagui mbona
nipo tu mie .
Imeisha hiyoWewe tu kakake
Uandae dikshenari pindi tuane hata leo jioni