Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
ndio mie .We huyu![]()
Nikiwa sijazoea watu , nakuwa na aibu mingi .
ndio mie .We huyu![]()
Uko busyyyyTatizo muda Sina dadake
Kurejea ghetto sana nane usiku huko
Halafu asubuhi natembea
Hahaha mie sitaki bhn. Tunacheka kama mazuri vile.hiyo ya kutuma text daily inauma sna
hujibiwi ni mikausho tu kwenda mbele
Bussy wapi dadakeUko busyyyy
Ila zitafute wifi yangu asije kulala njaa
acha ni uchungu sanaMnapitia magumu kumbe![]()
Hauna ka selfii unamkata mtu hapo jicho utublesi dear 🤔😁???Aibu ya kupretend ile
nikiamua kukasirika , nakata jicho
Lakini wa kutelezaacha ni uchungu sana
mtu unampenda , yeye hakutambui
usione tuko single.

"Wa kuteleza" Wige wewe🙌🙌🙌🙌🤣Lakini wa kuteleza
Si yupo![]()
Ni mitaa ya hapa GeitaItakuwa mkoani mbeya
Pale iwambi bila shaka
Si mazuriHahaha mie sitaki bhn. Tunacheka kama mazuri vile.
Ungekuwa na kiu ya 🍆🍆🍆🍑🍑🍑 ningekuja hata mie kukutoaHahahaa
Kakake weekend ndio hii
Nitoe basi dadako mie nina kiu ya juice
hahaha picha itakuwa inatisha sana .Hauna ka selfii unamkata mtu jicho utublesi dear 🤔😁???
Hebuu tuone... Watu wazima hatutishiki banaa!!hahaha picha itakuwa inatisha sana .
mtakimbia hapa 😂😂
wa nini mieLakini wa kuteleza
Si yupo![]()
Ndio inabidi tupambane, ili tusikose chakula kakakeBussy wapi dadake
Ni Ile
Asiyefanya kazi na asile
Kamsemo kananitatiza(ga) sana
Hadi nipige dearHebuu tuone... Watu wazima hatutishiki banaa!!
Naam"Wa kuteleza" Wige wewe![]()
Imekula kwako mazima dearr 😁🤣🤣🤣!! Jichanganye nahuko kuliwazana kwa Simu tu eti 🤣🤣🤣🤣🤣wa nini mie
yupo wa kuniliwaza kwa simu 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Ungekuwa na kiu ya 🍆🍆🍆🍑🍑🍑 ningekuja hata mie kukutoa
Wanja wanini ivoivo inatoshaaa jamaneee!!Hadi nipige dear
nipake na uwanja