Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bora kupendana tu kwakweli😂😂
Kabisaaaa!! Ukipata muelewa aaahh mnacheka mnafurahiii na bwana enu wenyewe..kutana na kisirani sasa utapigwa vijembe hadi ukome 🤣🤣🤣🤣As if yeye ndie alieanza ukamuingilia au ukaja nyuma yake! Kuna watu wanakompliketi sana maisha Hakyanani🙌🙌🙌🙌🙌
 
Kabisaaaa!! Ukipata muelewa aaahh mnacheka mnafurahiii na bwana enu wenyewe..kutana na kisirani sasa utapigwa vijembe hadi ukome 🤣🤣🤣🤣As if yeye ndie alieanza ukamuingilia au ukaja nyuma yake🙌🙌🙌🙌🙌
🤣🤣🤣🤣 kumbe kila mtu alifatwa kwa muda wake
 
Back
Top Bottom