Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,308
Hebu tuone ulivopendeza dear!! Utakua umenougaaaa ile ki asiliii😍😍Ooh
Mie nilisokota dread kidogo uzalendo umenishinda jana nimenyoa
Hebu tuone ulivopendeza dear!! Utakua umenougaaaa ile ki asiliii😍😍Ooh
Mie nilisokota dread kidogo uzalendo umenishinda jana nimenyoa
Namie namuita aniambie maana ya mtu kuwa loaded eti😁!Irudiwe irudiwe sijaona mimi
Basi yupo vyedi sana ukimwona mpe Hongera zakeee!!lol sijui ila unamuonaje boss wetu huyu .
wazungu wanasema jamaa yupo loaded .
ZimeishaaaaSina vocha, tumalize kwanza zile dk zako ulizojiunga
Zamu yako badoJaman madam CEO, fanya kama unakosea unatuma kiasi kwa Mpesa yangu
Tumetoka mbali ujue🥰😍
UnajikutaaaVitu vya maboss 🤣🤣 sio kila mtu apate access
Kiasili wapi mwenzangu hapa nilipo nimeungua ngozi kiherehere cha dawa kimenishukaHebu tuone ulivopendeza dear!! Utakua umenougaaaa ile ki asiliii![]()
zishafika KipenziBasi yupo vyedi sana ukimwona mpe Hongera zakeee!!
Tunaoteseka ni sisi tulio single na mwaka ndio unaelekea ukingoniZimeishaaaa
Nilikuwa naongea na ma mkwe 😂
NilikutongozaMwanzo ulianzaje?
Mwezi bado mbichiiii dada, fungua pm hiloTunaoteseka ni sisi tulio single na mwaka ndio unaelekea ukingoni
MmhTunaoteseka ni sisi tulio single na mwaka ndio unaelekea ukingoni
Hayaa niwekee uyonyoa dear!!Ya dread ndo sina picha yake mae coz vilikua bado fupi bado kuchangamka, nilianza juzi September![]()
Malizia mama subaru 😂😂😂😂😂😂Unajikutaaa
Ooh soreee nilisahau kumbe wewe madam CEO 🤣🤣🤣