Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
ooh niceNa leo ameachia kionjo chake cha nyimbo yake mpya ya(bangi) ana irelease saa sita usiku.
Acha tuItakuwa imejibu
Vipi na chakula umeanza kuchagua
Vomit za asubuhi je![]()
yeah hali ya hewa si poaPole Sana Hali ya hewa hii ya mvua jua!
PoleSina hata jipya
homa inanisumbua hapa sielewi
Coca stori nyingicocastic kasema anaolewa mwezi huu Cha ajabu alituma picha 10 tumchagulie juzib ila auntyngu nae 😂😂😂😂
PoleOkay ibada njema
mie nimechelewa na bado foleni ya Mwenge .
Asante dearPole
Mungu akuponye
hivyo ni vizuri Sana Mana ibada ukiisha tayari umefika lkwakoPole
Mm huwa nasali Kanisa lililo jirani na nyumbani
Mambo ya kudandia margari kwenda Kanisani ni occasionally
Sio mbaya kwa kidogo anachotoa
Umemkata maini blaza😁😁😁😁Sio mbaya kwa kidogo anachotoa
Uko poa chief?
wewe Ni mkufunzi ?Japan wamesawazisha
Kazi na dawaView attachment 2433006
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Morning DaddyUmemkata maini blaza😁😁😁😁
Good morning sweetheart
Kabisa,Nikitoka ni shwaa dakika chache tu nipo nyumbanihivyo ni vizuri Sana Mana ibada ukiisha tayari umefika lkwako
Kabisa,Nikitoka ni shwaa dakika chache tu nipo nyumbani
Siyo kama kule Kwa Mwamposa nikitoka naanza kuwaza namna gani nitafika nyumbani
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app