Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Yaani hadi kufika nyumbani unakuwa hooi.Kule shida sana , usafiri mgumu
juzi nilipita maeneo hayo jioni ,usafiri wa shida kweli .
habari za Asubuhi ?
Huwa sitaki hayo mateso,,
Huku pia nikihama wasije tegemea eti nitakuwa nafunga safari kuja😁
Mm siyo mkereketwa kwa kiasi hicho.
Ni njema,
Unaendeleaje na homa?