Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,303
Ukimaliza kula unifanyie ile ya juzii naona tulipishana kipenzi!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Namalizaaaa😂😂😂 Hadi nacheka haki ya Mungu khaaaa.
Thanks dear
Ndiomana gushepu gumejaaaaa kumbeee lol 😋!!
Ukimaliza kula unifanyie ile ya juzii naona tulipishana kipenzi!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Namalizaaaa😂😂😂 Hadi nacheka haki ya Mungu khaaaa.
Thanks dear
hao nasikia kocha kajiuzulu sijuiNa Belgium chaliiiiiiii ....wote walitia huruma hawakuaminiiii!!
Kitu naked kabisaaa😍
😍😍Kitu naked kabisaaa😍
Ndio dia..timu ya pili kwa viwango duniani imagine!!!! Ni aibu na Ussshuunggguu 🤣🤣🤣hao nasikia kocha kajiuzulu sijui
Duh hatari aisee nje wanajua kuwajibikaNdio dia..timu ya pili kwa viwango duniani imagine!!!! Ni aibu na Ussshuunggguu 🤣🤣🤣
Asante na wewe pia kipenzi😘Ahsante Sana kipenzi 😍😍😘😘😘
Ndiivo mpira ni matokeo!!Duh hatari aisee nje wanajua kuwajibika
Utoke out na crush akee dear😛😛😛!nina pa kwenda basi 🥴
labda itokee tu jambo niende sehemu.
Toto totoooo!! Naimagine zilivyokua zinavyutwaaaaaa kunako aweeee😎😎!!Enzi za rumaiya manywele
View attachment 2433303
😂😂😂😂😂😂Atiiii...kunako wapi Tena!!😜Toto totoooo!! Naimagine zilivyokua zinavyutwaaaaaa kunako aweeee😎😎!!
Una Nywele nzuri zimejaa hadi raha dear hongera!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!😂😂😂😂😂😂Atiiii...kunako wapi Tena!!😜
Ahsante Sana dear
Madam hii ndiyo mnaita ushuguuu??Mi mwenyewe sikuhizi zimekatika kwelii afu Zangu natural sijaweka dawa!! Tinsley
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Hizo Nywele natural yani hazijawekwa dawa mr vochaaaaa!! 😜Madam hii ndiyo mnaita ushuguuu??
Sawa madam🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Hizo Nywele natural yani hazijawekwa dawa mr vochaaaaa!! 😜