Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shougaaaa umepika nn hapoo kwako? Yaan hapa njaa inaumaa na sina nguvu hata ya kuchemsha chai, bora wenye house maids, wallah. Mweeeeh

Hii tabu sasa lol
Lol Usiku nimepika chapati na rost ya samaki shoss angu karibu ule!
 
Lol Usiku nimepika chapati na rost ya samaki shoss angu karibu ule!
Aseeeeeh hapo acha ufumukee tyuuh, kubebwaa utabebwaa siku unapelekwaa kufukiwa chini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aseeeeeh hapo acha ufumukee tyuuh, kubebwaa utabebwaa siku unapelekwaa kufukiwa chini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Weee akomae ivoivoo kunibebaa vya uzito mi sitaki juaaa😁!
 
Back
Top Bottom