Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
Wigelekelo bado upo????
Yes mbili kwa mmoja.Ooh kumbe Morroco imeshinda
Naona mambo mazuri Mkuu
hongereni kwa ushindiYes mbili kwa mmoja.
Group F tumetoka tukiwa vinara.
Huku Rabbat Sasa Ni mwendo wa al kasusu tu Mkuu
Unatakaamie hataaa sitakiiiiiiii.
Akaaaaaaaah!!!!
Natwaweza toboa mpaka robohongereni kwa ushindi
Hapana chezea Morroco
Kakorofi mnococastic Banned lol🙆🙆🙆🙆🙆! Imekuaje tena shoss!!
Yule hadi umchokozee labda hanaga tabu na mtu kabisa!! Uwepo wake unachangamsha sana jukwaa!Kakorofi mno
Ngoja kapumzike
habari njema hiyoNatwaweza toboa mpaka robo
Sababu Giant teams Kama Argentina; Brazil; England; portigal; France; Spain tutazikwepa kwenye hatua hii ya 16.
sema dogo naona wanamfanyia bullying Sana. Kitu ambacho si poa.Kakorofi mno
Ngoja kapumzike
Yahsema dogo naona wanamfanyia bullying Sana. Kitu ambacho si poa.
Ndio hivyo kila anapoenda lazima ukute ameliamsha na mtuYule hadi umchokozee labda hanaga tabu na mtu kabisa!! Uwepo wake unachangamsha sana jukwaa!



Dah maskini CocaNgoja kidogooo niselfikeeee.
Nakumic pia x wangu. Em niselfishe na vocha kwanza hapo. Ya buku das
Nifanye Nini tena??Fanya wepesi
Nifanye Nini tena??Fanya wepesi
Nimejikuta nacheka peke angu kwa comment yako Mkuu.
Wachat naye tu stori zingineNimejikuta nacheka peke angu kwa comment yako Mkuu.
Kwaiyo kifupi hatakiwi.







Tusafishe machoNifanye Nini tena??