nimechekaaaaa mnoooooo uwiiiiiiiiiii!!!!
Sasa if sio serious, why wee unakua bitter hivyooo?? Unaniachaga hoi sanaaaa.
Dunia pana hii iko zaidi ya uijuavyoooo, nikupeee poleeee kwa kujipa umuhimu na venye hamna. C utulie sasa nainjoiwa mie wee ndo utesekee kweliiii?
Karibu sanaaa siku ya tukiooo utakulaa na kunywaaa pilot, unakwamaa wapiiii?