Kuna siku mtu aliniungia kifurushi cha 30k japo hela ilikua yake, nkamchambaa akomeee, hela anipe niunge mwenyewee.Ndo nikupigie tuzimalize ndani ya siku 3 Lenie View attachment 2432301
17/12. Kuna shughuriiii pambeeee shougaaaaa, ufanye ukujeeeeBirthday tarehe ngapi kwanza??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Chizi wewe ujue!! Na kumchamba juu 😄🤣🤣!!Kuna siku mtu aliniungia kifurushi cha 30k japo hela ilikua yake, nkamchambaa akomeee, hela anipe niunge mwenyewee.
Ningeunga 10k, 20 ningetoa ningeweka bill ya mihogo na kachumbali kwa mama swaumu,
Naijua pesa kuliko hata inavyojijua enyewe. Uwiiiiiiih
We unaongea kama mwanaume au mwanamke?
Unaolewa lini umesema?Kuna siku mtu aliniungia kifurushi cha 30k japo hela ilikua yake, nkamchambaa akomeee, hela anipe niunge mwenyewee.
Ningeunga 10k, 20 ningetoa ningeweka bill ya mihogo na kachumbali kwa mama swaumu,
Naijua pesa kuliko hata inavyojijua enyewe. Uwiiiiiiih
Sasa niombee na mie mtoto wa mama mkwe afanye jambo lake.Niolewe mara ngapi mie nishaolewaaa!!
Ntakutunzaaaa wewe teinaaaa sema kingine!!!17/12. Kuna shughuriiii pambeeee shougaaaaa, ufanye ukujeeee
Kadi ya ukumbi ni 30. Ujage unitunze shougaaa mbogaaa.
Morning beautiful AMorning beautiful T!
Babayako atafurahi sana i, unakuja kuolewa, ndugu zako, wazazi wako mtaani hapo watafurahi kabisa mtoto wao anaolewa, kaka zako, dada zako, wadogo zako watafurahi unaolewa... Hivi hio ndoa utafungia wapi kwanza? na nani atafungisha hio ndoa?
Nakuombea shoss anguuu tena mwakani nakuletea saprrrrrize nakuletea zawadi pambeeeee shosss anguuuu any day any timeee!! Mambo ni motrooooooo mambo ni hooooooootttttt wauuuuweeeeeeeeehhhhhh💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸!!Sasa niombee na mie mtoto wa mama mkwe afanye jambo lake.
Mwezi huu pilot.Unaolewa lini umesema?
Tuko poa sana dear!! Vipi wewe;!Morning beautiful A
habari ya huko, mmeamkaje ?
Hio ndoa wazazi wako watakwenda kuhudhuria mwanao anaolewa? yaani baba yako/mama yako na yeye akikaa na rafiki zake anakuwa anajisifu mtoto wake kaolewa?ndoa itafungishwa na huwa anafungisha, ndoa itafungiwa inapotakiwa kufungika.
Sio ndugu hata malaika wema na wabaya watafurahi mie kuwa official Mrs Fulan. Weraaaaaaaah.
Chizi wewe ujue!! Na kumchamba juu!!
Huyo anaekuoa ataleta mahari kwenu? ameshakuja kujitambulisha kwenu hapo?Mwezi huu pilot.
Tena atakuwa ana tabasamu mnooo, mama na dada zangu ndo wana gala gala chini kwa furaha, mtoto wao nakua rasmi Mrs Fulan,Hio ndoa wazazi wako watakwenda kuhudhuria mwanao anaolewa? yaani baba yako/mama yako na yeye akikaa na rafiki zake anakuwa anajisifu mtoto wake kaolewa?
Ok!!Nakuombea shoss anguuu tena mwakani nakuletea saprrrrrize nakuletea zawadi pambeeeee shosss anguuuu any day any timeee!! Mambo ni motrooooooo mambo ni hooooooootttttt wauuuuweeeeeeeeehhhhhh💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸!!
Akija kujitambulisha kila kitu kinaisha bhana wee.Huyo anaekuoa ataleta mahari kwenu? ameshakuja kujitambulisha kwenu hapo?
Weuweeeeeeeeeeeee!!!!Nakuombea shoss anguuu tena mwakani nakuletea saprrrrrize nakuletea zawadi pambeeeee shosss anguuuu any day any timeee!! Mambo ni motrooooooo mambo ni hooooooootttttt wauuuuweeeeeeeeehhhhhh!!
Ushapiga hesabu ndefu yee analeta za kukuungia🤣🤣😄😄!ile siku aliniboaaa, afu wakat huo mama swaumu ananidai 10k, nkamuambia akomee kuunga kifurush kwa cm bila ridhaa yangu, yeye aweke hela kwa halopesa ajiache, kuunga naunga mie, eti lenyewe likaunga yote mxxxieeeeew.
Mie c ningetoa 20k, 10 ningelipa, 10 ningeweka bill upyaa.