Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,818
- 40,584
Ni kweli yaani mkuu huwa sielewi inakuwaje , tena me napendaga yawekwe sukari kidogo.
No, haya shida yake haushibi. Unaweza maliza hotpot mbili kubwa zile za pilau la mwaka mpya.