Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,752
- 109,847
Okeiii okeeeeei
.[emoji3][emoji3]View attachment 1263290
.[emoji3][emoji3]View attachment 1263290
View attachment 1263298
Wembamba wa reli
@Depal [emoji8][emoji39]View attachment 1263298
Wembamba wa reli
Nikiamka nikute picha kama zote la sivyo nawaroga wote
Unataka kugeuza watu mbojo
HahahHahahaha mkuu umenikumbusha mbali sana.. mbojo kule kwetu ni majini, watu wenye pesa walizushiwa sana miaka ya 90 kua wana mbojo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah
Pia inaweza maanisha msukule au nsyuka au kibwengo, kazi yake ni kuua watu kimazingara
zisipopewa sadaka/damuNdio hiyo hiyo...
Halafu kuna time zinamgeuka anaezifuga zinamtwanga kweli kweli
esigiara
Heheh...acha fujo isiyoumiza
Hahah
Pia inaweza maanisha msukule au nsyuka au kibwengo, kazi yake ni kuua watu kimazingara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umenikumbusha yule mzungu wa kihehe,, eti fujo zisizoumiza..
[emoji2296][emoji2296]jizazi
dunia jungu kuu hili, halikosi ukoko hata ukipikwa mchuzi
Shukrani natumai u mzima pia
Kama una namba yake muambie nimemhamu mimi jamani
Unataka kugeuza watu mbojo