Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Nimependa kukoment hivyoMbona unaguna mpendwa?
Nimekupata kamanda. Hatuwezi kufanana. Na katika utofauti wetu ndimo mna maana halisi ya maisha kama yanavyoishika katika kasayari haka kazuri tulikopewa tukaharibu. Tutakwenda kufanana mbinguni/jehanamuDaah sema Mkuu kila mtu anajinsi anavyochukulia tatizo likimpata.. I'm not a saint or Jesus Cousin.. But Napenda tuwe tunatumia wema zaidi.. unajua jesus nae alikua binaadam so inawezekana pale u binaadamu uli outgrow uungu wake..ndio mana akatumia Nguvu!


Mhhhh !Nimependa kukoment hivyo
Huyu siyo baharia Ontario kweli huyu![]()
Siipendagi hii kituMhhhh !
Usiku ushakuwa mzito huuMlale salama... Sitaki maswali kwanini nalala nilale muda huu![]()
😉Dah...![]()
Je, wajua kuwa sijawahi kuona picha yako tangu huu uzi uanzishwe?Nimependa kukoment hivyo
KaribuNa mimi naruhusiwa PM?
Bro acha hizo basi 😂Mhhhh !![]()
Haya madude nayo kwa usiku sio poa aisee. Yalishaga nipeleka puta balaa, sijui niliyafakamia kiuroho.
Je wajua hata mimi nasubiri yako kwa shauku kubwa.Je, wajua kuwa sijawahi kuona picha yako tangu huu uzi uanzishwe?
Jamani. Mi 65+ kweli unanipachika udogo wako. Siyo kwamba unipe ukaka mkubwa na shikamoo juu tena huku ukiwa umepiga goti chini kama mabinti wa Kisukuma?
Si ninasoma visa na mikasa yenu kila siku humu nabaki tu hiiiiiiiiii!! Nikimuona shemeji yako anaingia jf nitalia walah, unless awe EMT hapo nitamuelewa.
Kwema kabisa mdogo wangu, mzima weye?


