Huku sie tukiona macho matatu , hao tunadata 😂😂Ndio simu zipo nyingi zina camera nzuri sana, kama unatokea kwenye Tecno sio lazima uwe na iPhone, kuna simu kama Xiaomi Redmi Note 10 Pro, ukiwa na Tshs 400,000/350,000 unapata na zina camera nzuri sana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeeh.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Ukija na mbwembwe zako unapokelewaaa vizuriiiiii unatulizwaaaa kwanzaaa tulia wewweee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jf [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960]
Mnoooooo kutwa kukurupukaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah unawakomesha aisee
Siwezi danganya kivile ,
na humu watu ndo wa hivyo avatar zinawadatisha
Lakini kwa camera Pixel 7 pro hizo macho matatu hazioni ni vile tumekariri iPhoneHuku sie tukiona macho matatu , hao tunadata 😂😂
Redmi iko poa sana
niliona sehemu na bei zake sokoni ni rafiki mno .
Bei yake?Kama sio mpenzi wa ios ukiwa na google pixel 7 pro pia utaulizwa umetumia simu/camera gani, ipo vizuri
Na vipi betri zake ujazo gani?Ndio simu zipo nyingi zina camera nzuri sana, kama unatokea kwenye Tecno sio lazima uwe na iPhone, kuna simu kama Xiaomi Redmi Note 10 Pro, ukiwa na Tshs 400,000/350,000 unapata na zina camera nzuri sana,
Sini wewe? Maana mtoto wawatu sijui kuachaNani alimuacha mwenzie[emoji848]
Ni nzuri sana hizoLakini kwa camera Pixel 7 pro hizo macho matatu hazioni ni vile tumekariri iPhone
Kumbe na Golden Tulip tumefika?😁😁😁Anzaa wee, ukiambatanishaa na vochaaaa.
Ko kunipelekaaa Golden Tulip na kuniacha palee hotelin, sijapendaaa kwa kweli. Ulitaka nife njaa bill ikikataaaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],haya sasa unipage vocha Mr akee na cocaa.
Jf ya moto, haiboi haichoshi. Uwiiiiih
Na mimi naomba vocha blaza😛Kumbe na Golden Tulip tumefika?😁😁😁
Mimi nilidhani tuliishia Johari Rotana
Lakini si nilikuachia mshiko wa kutosha bill isingekata bana🤣
Vocha pa kuweka napajuaa...
Tunaotokea kwenye tecno ngoja tuchukue huu ushauri.Ndio simu zipo nyingi zina camera nzuri sana, kama unatokea kwenye Tecno sio lazima uwe na iPhone, kuna simu kama Xiaomi Redmi Note 10 Pro, ukiwa na Tshs 400,000/350,000 unapata na zina camera nzuri sana,
Kweli?Wee ni Chizi ujue akili zako unazijua mwenyewe Hakyanani Nimechekaaaaa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi mtu ntaekutana nae live hawezi amini kama ni mie wahapa! Ni mkimyaa sana afu hata siongei kiivo plus yani sina mbwembwe kama za nyuma ya keyboard kabisa!
Inauzwa dolla ngapi?Lakini kwa camera Pixel 7 pro hizo macho matatu hazioni ni vile tumekariri iPhone
Ila Palladino ukamuacha!Sini wewe? Maana mtoto wawatu sijui kuacha
Hellloooooo mama mchuchuuuuuHellooooo selfikaaaaView attachment 2430488
Zamu yako bado kibungo tulia 🤣🤣Zamu yanguuuu kumithiwaaa 🤸