Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu weuuuuweeeeeehhhhhhh πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ!! Sema weweee!! ✌️✌️✌️✌️😍😍😍
Yeah sema hadi umpate huyo smart sasa 🀣🀣 .
kazi kweli kweli
 
Ushaanza na propaganda zako za uongo hapa, ko ulikua kmya kwa muda ku type hivi?


Nipe reference za madai yako hayo kuwa biological mwanamke anataka mwanaume aliye vizuri financially ili watoto wazaliwao wawe bora, bas huko vijijini watu wasingeolewa na kuzaa, au watu maskini wasingeoa na kuitwa baba.


Hiyo paragraph ya pili at least kidogo ina mashiko nako si sanaaa,

Kuhusu kuongea naongea mie km mie,
 
Vijana wa Sasa mna moto!! Kwaiyo ulikuwa unataka ukunjwee kunjwee haswa haswa.

Lakini mtu mwenyewe unakunjika au mbwembwe! Au nikama yule kondoo tu wa Gwaji Boy.
Habari wanaijua walio wahi kunikulaaaa,


Sijawahi kufail ktk mizagamuo, uno la uzazi, kilio na mguno utadhan mama yuko labour, sauti sasa Ruby akaanze upyaa.

Niwacheeeeeee.
 
sikufichi mie mtu akivaa suti sijui official hata hisia zinakataaaa, khaaaaaah
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!πŸ‘ˆπŸ‘ˆπŸ‘ˆπŸ‘ˆπŸ‘ˆπŸ‘ˆπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£!! Mbavu zangu cocaaaaa🀣🀣😁😁😁🀣!! Fleva zako nazielewaaa Shoss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…