Selfika na JF: Snap it. Show it

anza nae huyo mana inaonekana ndio umemuelewa zaidi.
No 1 aseeeeeh yuko vyedi, kwan alivyo vaa casual ndo kaniua, mtu wa official sitaki mie.

No 2 nae akivaa casual anaua mnoooo.
 
Kwamba wee unazungumzia mie au wengine? Tuanzie hapo kwan.

Maana mie natoa mtazamo na msimamo wangu, ila wee unataka nisemee wengine, kwan wanawake wote wanapenda pesa kwa wenza wao?

Kwanza kaa ukijua hakuna mtu hapendi maisha bora, hakuna maisha bora hakuna pesa tusidanganyane, ukiwa na pesa una afford better life, kingine kibailojia wanawake wanapenda wanaume ambao wapo stable financially kwa sababu ya watoto wake waishi vyema.

Mwanaume ni tofauti ye haangalii pesa ana vutiwa na muonekano, munekano mzuri ni kiashiria cha afya, hii ina improve afya ya watoto wake , pia muonekano wa mwanamke inaongeza hamu ya tendo(libido) kwa mwanaume kuweza kumpa mimba mwanamke na kuanzisha kizazi... Kumbuka hiki kitu hufikirii bali ipo kwenye DNA, ni programu ipo ndani...

Sasa we unaongea kama nani?
 
Alikua hanitoshelezi kwenye mizagamuo, sasa nibaki kwake ili iweje?
Vijana wa Sasa mna moto!! Kwaiyo ulikuwa unataka ukunjwee kunjwee haswa haswa.

Lakini mtu mwenyewe unakunjika au mbwembwe! Au nikama yule kondoo tu wa Gwaji Boy.
 
9 yupo vizuri kweli
amevaa na kupendeza kwanza
mwanaume kuwa smart bhana.
Watu weuuuuweeeeeehhhhhhh πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ!! Sema weweee!! ✌️✌️✌️✌️😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…