Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijawahi kufika ila nimeona google, halafu hapo vijana wanaponda sana mali... pako cheap
Kibiashara ka fail, chumbani usiku hulali hadi watapo zima mziki zile baa zote za yale maeneo na pakikucha kelele za kijamii maana ni barabarani, nilijuta siku nimeenda lala pale mana hotel zote siku hiyo nilikuta zimejaa ila pale pako wazi, ile usiku ndio nikajua kwanini. Nilicho wapendea vyumba vikubwaa sana, na bafu nzuri zina maji mazuri sana unaweza shinda bafuni na hata suite yao ni bei chee kabisa.. Ila ndio hutolala
 
Nimekutana na story humu jf eti jamaa kala pisi hapo Rungwe Hotel, nikasema hii itakuwa hotel pendwa ya wana Jf, kumbe na wewe ulishafika, heheheh, Nice mkuu
 
Kama una pisi kali unaruka nayo sea cliff pale...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…