π
π
π
π
Kuna siku tulikuwa field milimani, na wanataka tukague kila point.. ohooo miguuu ikaanza tetema kama mayele, nikawaambi mwisho wangu hapa sipandi.. na hamnipeleki popote mbona waliishia nilipo ishia, maana mwenye majibu nilikuwa mie ya sehemu wanazo kagua