Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

And vice versa is true!!

Lisemwalo lipoooo kama halipo lajaaa!!
Kila la kheri Wapendwaaa
Ndoa ni Jambo jemaaa na la Baraka!![emoji6]

Natabiri!
Screenshot_20221124_085024_com.instagram.android_edit_17515454592639.jpg
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Kazi sina shangazi, wewe mwenyewe kazi ya kulinda shamba umeninyima [emoji4].. Sasa huku nakula machakula manguvu kibao sina pakuzipeleka zaidi ya huko [emoji527][emoji527].. Mzima lakini shangazi wangu [emoji56]
Msimu wa mvua huu hizo nguvu zako ukizielekeza kwenye kilimo utabarikiwa zaidi!!
 
Back
Top Bottom