Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Hii miguu inaonekana imepitia mengi hadi kufika hapo.
Hii miguu inaonekana imepitia mengi hadi kufika hapo.
Hahhha hongera mkuu...Ha ha hizi zengwe sasa![]()
Long time no see viatu vya samakiHii miguu inaonekana imepitia mengi hadi kufika hapo.
Hii miguu kama naifaham. Kazi njema mkuuu
Hakika na jasho mmetoana, kweli nakupeni "a standing ovation"


Nipo mkuu, majukumu yanakuwa mengi muda mwingine unaweza kushindwa kuchungulia humu.Long time no see viatu vya samaki
I can feel where you are coming from mkuu. Cha muhimu uzima tuNipo mkuu, majukumu yanakuwa mengi muda mwingine unaweza kushindwa kuchungulia humu.
Naam uzima ni kila kitu, ndiyo maana tukakutana tena.I can feel where you are coming from mkuu. Cha muhimu uzima tu
Hii miguu inaonekana imepitia mengi hadi kufika hapo.
Nipo mtu wangu, habari za siku.Kimya sana mkuu upo??
Nipo mtu wangu, habari za siku.
Hapana shughuli muda mwingine zinatuweka mbali na mitandao. Nimerudi hata sijui nianzie wapi kila jukwaa naona ni geni tu.Salama tu mmeukimbia kabisa uzi aisee



utazoea tu usijali
Hapana shughuli muda mwingine zinatuweka mbali na mitandao. Nimerudi hata sijui nianzie wapi kila jukwaa naona ni geni tu.
Naanza kuzoea mdogo mdogo.