Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha no unaifahamu shule ya msingi Zabikha Islamic,, yaani ukifika kwenye ile fence ya Songas unakunja kulia unaendelea mbele hadi sehemu inaitwa Kibaga kama unaenda Ulongoni hivi kule wanakojenga barabara sasa hivi ndiyo huko huko..
Yes. Nmepakumbuka hiyo njia ya zabhika ina mchanga mwingi kwa mbele unakunja kona unaenda kukutana na boda boda wengi. Kisha ndio unakuta lami. Lami inayoenda kutokea darajani. Near majumba six.

Kumbe ni mwenyeji. Haha
 
Yeah sasa ukifika pale Zabikha kwenye ile njiapanda haukunji kona unaenda moja kwa moja kama unaenda Ulongoni kule makaburini karibu na shule ya sekondari Muhanga ndiyo huko huko,, hiyo kona uliyoelezea wewe ni unakuwa unaenda kwa mpemba pale pale kwenye bodaboda wengi na maduka na magenge mengi mengi ya waha ndiyo panaitwa kwa mpemba pale..

Back
Top Bottom