Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Uliwapa swaumu 🤣🤣🤣Walikua wapo kwenye swaumu.. (wamefunga)🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
waache wafungwe tena nawasubiri kwa hamu match ijayo .
Uliwapa swaumu 🤣🤣🤣Walikua wapo kwenye swaumu.. (wamefunga)🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo hamna kazi.. mara x10 ya waarabutunaenda half time na goal 3 .
wakizembea Cha nne hicho
Poor Brain ndo yupo Iran hukoTinsley na kakako ziro brain naona mnacheza Rede kwa timu yenu ya Iran😁😁😁😁😄😄🤣! Leo mtaogeshwaaaajeeee magoliiiii😁😄
Weeeh kwanza after this match itabidi utwambie team yako og kabisa sio unakua dynamic hatutaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uliwapa swaumu 🤣🤣🤣
waache wafungwe tena nawasubiri kwa hamu match ijayo .
hahhaHapo hamna kazi.. mara x10 ya waarabu
🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌 Unataka nijichanganye niseme hapa.. unichambe sio...!🤣🤣Poor Brain ndo yupo Iran huko
maaana anavyowatetea hao wairani
sitaki ili unicheke 🤣🤣🤣Weeeh kwanza after this match itabidi utwambie team yako og kabisa sio unakua dynamic hatutaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanaseketeshaaa sanaaaa..Poor Brain ndo yupo Iran huko
maaana anavyowatetea hao wairani
Ety by naturee🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna team tuu ipo hapo kwa kichwa na karoho katakuuma tuu japo ukiwa na sisi unakua na vibeee ka lote🥲🥲😃😃😃sitaki ili unicheke 🤣🤣🤣
mie dynamic tu by nature .
Wee na weee team gani.. Agentina au italy... 🤣🤣🤣🤣🤣 Au na wee dynamicWanaseketeshaaa sanaaaa..
kipindi cha pili wakajipange vizuri lasivoo wataogeleajeee magoli 😄😄😄
Italy haipoo nimeingia Brazil .... Yako timu gani?? Iran😂????Wee na weee team gani.. Agentina au italy... 🤣🤣🤣🤣🤣 Au na wee dynamic
Bora yako wewe ila sio..mwenzko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sitaki nitaje team. Yangu afu baade muanze kunicheka kwa kupokezana 🤣🤣🤣🙌Italy haipoo nimeingia Brazil .... Yako timu gani?? Iran😂????
Taja mapemaa usisubirie ziingie robo ... ukute kwenye makundi mtatolewa KO Mapemaaaa!!Bora yako wewe ila sio..mwenzko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sitaki nitaje team. Yangu afu baade muanze kunicheka kwa kupokezana 🤣🤣🤣🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌Taja mapemaa usisubirie ziingie robo ... ukute kwenye makundi mtatolewa KO Mapemaaaa!!
Ndo wameanza hapo kipindi Cha pili .Wanaseketeshaaa sanaaaa..
kipindi cha pili wakajipange vizuri lasivoo wataogeleajeee magoli 😄😄😄
Sema tu ndugu 🤣🤣,be free .🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌 Unataka nijichanganye niseme hapa.. unichambe sio...!🤣🤣
Siku ukitaja na mie nakuambia 🤣🤣Ety by naturee🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna team tuu ipo hapo kwa kichwa na karoho katakuuma tuu japo ukiwa na sisi unakua na vibeee ka lote🥲🥲😃😃😃
Senegal Ni Saa 1 kasoro dear!!Sema tu ndugu 🤣🤣,be free .
Sasa Senegal wanacheza mida hii
tunaonea wapi huo .
thank you ndo nimeona kwa ratibaSenegal Ni Saa 1 kasoro dear!!
Tusubiri hiyo siku... 🤣🤣🤣 Usije sema team yako utatoboa finalSiku ukitaja na mie nakuambia 🤣🤣