Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Who knowsTusubiri hiyo siku... 🤣🤣🤣 Usije sema team yako utatoboa final
my team ndo itashinda 🤣🤣
tutoke huku kwenye early stages kwanza .
Who knowsTusubiri hiyo siku... 🤣🤣🤣 Usije sema team yako utatoboa final
T keshasema Argentina mbona bado wewe kilaza square 😄😄!Tusubiri hiyo siku... 🤣🤣🤣 Usije sema team yako utatoboa final
Kwanza ngap ngapi huko...?,👆Siku ukitaja na mie nakuambia 🤣🤣
tatu bilaKwanza ngap ngapi huko...?,👆
La Nnee tayariiiiii🤸🤸🤸🤸💃💃tatu bila
dakika ya 61
Tatizo wee dynamic taja team yako hapa🤣🤣🤣 ujiamini unajua mtaboronga tuuWho knows
my team ndo itashinda 🤣🤣
tutoke huku kwenye early stages kwanza .
Goal la nne 🥳🥳🥳Kwanza ngap ngapi huko...?,👆
Daaah aiseeee😥😥😥tatu bila
dakika ya 61
Washaongeza 4 bilaaaaTatizo wee dynamic taja team yako hapa🤣🤣🤣 ujiamini unajua mtaboronga tuu
DuuuhWashaongeza 4 bilaaaa
unawaonea huruma Iran eehDaaah aiseeee😥😥😥
Iran mnasikia kizunguzungu tu Saivi hata mpira hamuoni vizuri 😄😄😂😂Daaah aiseeee😥😥😥
🤣🤣🤣🤣 Time will tellunawaonea huruma Iran eeh
hapa ni vichapo tu
time which🤣🤣🤣🤣 Time will tell
Finally mmefungaaaaa👏👏👏👏🤣🤣🤣🤣 Time will tell
Haya shangilia mmepata goal moja🤣🤣🤣🤣 Time will tell
which where who...in coca's voice 😄😄! Aseme mapema tujuuueeetime which
where 🤣🤣🤣
wamebahatika aiseeFinally mmefungaaaaa👏👏👏👏
atuweke wazi kabisa mapema .which where who...in coca's voice 😄😄! Aseme mapema tujuuueee
Wamefunga hapo ndio wanariiiiingaa as if wamefunga kumi kha!!wamebahatika aisee
goal limeingia kiulaini .