Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kutoroka toroka huku...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sa hivi nimekoma kutoroka 🙌🙌🙌 kabla ya kipindi cha pili nitakuwepo... Wee upo timu gani...?
Hahhah poyeee
unatoka saa kumi na moja

goal kwa England 🥳🥳🥳🥳🥳🥳
nipo England
 
Hahhah poyeee
unatoka saa kumi na moja

goal kwa England 🥳🥳🥳🥳🥳🥳
nipo England
Mambo yakipungua ntawahi kuangalia na me.... Ingekua usiku hivi hapo ingekua vizur ila sa hivi... Kuchomoka ni ngumu...,🤣🤣🤣 Fatilia afu utanipa full info mchezo ulivokua
 
Mambo yakipungua ntawahi kuangalia na me.... Ingekua usiku hivi hapo ingekua vizur ila sa hivi... Kuchomoka ni ngumu...,🤣🤣🤣 Fatilia afu utanipa full info mchezo ulivokua
goli la pili 🥳🥳
hapana chezea
nitakupa updates Kaka
 
Tinsley na kakako ziro brain naona mnacheza Rede kwa timu yenu ya Iran😁😁😁😁😄😄🤣! Leo mtaogeshwaaaajeeee magoliiiii😁😄
 
Back
Top Bottom