Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Hahaha, madam wa kuwekana weekend iliendaje mkuu?Mzeiya wa vipaji!! Habari za uzima!!
Weekend ilikua poa sana mr M express!!Hahaha, madam wa kuwekana weekend iliendaje mkuu?
Kama umemuona alipo mrudishe humu jamani[emoji3064][emoji22]Ngoja niscreenshoot nimpelekee
Alisema kapumzika, itapendeza akiachwa mpaka arejee mwenyewe.Kama umemuona alipo mrudishe humu jamani[emoji3064][emoji22]
Wananchi wake tunateseka
Dah[emoji3064]Alisema kapumzika, inapendeza akiachwa mpaka arejee mwenyewe.
ZitafikaDah[emoji3064]
Mwambie namwita mimi mdogo wake toka nitoke
Likewise BLJumatatu njema !!
Weee pote pote umo...👏👏👏👏"The boy is mine"
Fureshhh sana!!Weee pote pote umo...👏👏👏👏
Za kuamka lakini....?😴😴
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani wee usahau jamni.....Fureshhh sana!!
Huo ndio Brandy aliimba na Monica!
Bado nakudai ujue!
Last activity yake jf today!!Dah[emoji3064]
Mwambie namwita mimi mdogo wake toka nitoke
Nani wa kusahauu??? Sio kilaza mie!!🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani wee usahau jamni.....
Bado ziko vizuri kama kukatika zitakua zimekatika kidogo!! Mamaa lipssss 👌🥰Boss lady ona vinywele vyangu
Kangozi kazuriiBoss lady ona vinywele vyangu
Asante kwa kunitia moyoBado ziko vizuri kama kukatika zitakua zimekatika kidogo!! Mamaa lipssss 👌🥰