Weee tanya kuzileta hizo docs nazisubiriaa hapaa eti...🙇🙇Nzuri hiyoo... By the way natuma docoment zangu zote kwa boslad atakufikishia... Ili uchambue😃😃😃😃
Yeeeeezzzz!!!!
Vitu vingine ni maandalizi na mazingira tu kumbecook with chakorii
View attachment 2422158
Sifi jamani lol😂😂😂😂Saint Anne vp umeamka salama au umekufa tayari maana jana ulikuwa hoi na homa!
😉Nikiwa mkubwa nataka kua kama wewe![]()
Halafu sasa sio ghali ni miatano tu..Vitu vingine ni maandalizi na mazingira tu kumbe
Cheki hapa tembele linavyoonekana la kishua mtaani wanalidharau 😃😋
Huko angani hawana bia jamani🥺
Tembele litashuka na ka heinken kweli🤣🤣🤣🤣cook with chakorii
View attachment 2422158
Nimechanganya na pork..so imeshuka Kwa spid kubwa sana.Niko Heineken ya sita sasa na sijapata kutapika 🤣🤣🤣🤣Tembele litashuka na ka heinken kweli🤣🤣🤣🤣
Asante mideko😍😍Jumapili njema wadau wa selfika
Si wengine 😢😢😢😢
Mbona haraka hivo..🥱🥱🥱Jumapili njema wadau wa selfika
Hongera sana mmyNimechanganya na pork..so imeshuka Kwa spid kubwa sana.Niko Heineken ya sita sasa na sijapata kutapika 🤣🤣🤣🤣
🥱🥱🥱🥱 Ngoja kwanza... Junior mzima🤣🤣🤣🤝Weeeee Hebu nipe huu ubuyuuuu kwani mr makasiriko nenanee???! Hatutaki makasiriko sieee!!😁😉